Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
.... serikali inunue mfumo wa Artificial Intelligence wakuongoza magari.
Inasikitisha sana wasomi na wale walioaminiwa kugeuza wezi na vibaka dhidi ya watanzania wengi wanaotegemea utumishi wao.Wenzio wameona opportunity hapo, watapiga mabilioni mengi kwenye kununua huo mfumo na usiwe na tija tena. Hiyo statement iliyotolewa imepangwa hajatolewa kwa bahati mbaya au umri wa alietoa. Kuna watu nyuma yake, kalaghabaho.
Nafikiri kuna wawekezaji tarajiwaMbagala - gerezani wanashindwa kuzindua kutokana na uhaba wa mabus nahisi huu mradi utafika mwakani bila kufanya kazi..kama kimara imewashinda itakuaje Kwa huku mbagala?
Mwendokasi angepewa mtu binafsi angefanya kazi 24Hrs na pesa ingeonekana, watu wa umma wengi ni wajinga snUongozi wa mwendokasi umekiri kwamba wameshindwa kuendesha miradi husika na hivyo wanasubiri hadi serikali inunue mfumo wa Artificial Intelligence wakuongoza magari. Hayo yamesemwa leo katika mahojiano baina ya waandishi wa habari na viongozi wa mradi husika.
Baada ya viongozi hawa kusema wamekwama, nimejaribu kuangalia umri wa kiongozi huyu, uwezo wake wa kuchakata issue nikabaini tuna watu wasio sahihi kwenye miradi yetu.
Kibiashara kuongezeka kwa abiria ni opportunity lakini kwa huyu kiongozi anatamani abiria wapungue. Kama huyu mtu yupo ofisini na analipwa salary tunategemea miradi hii iwe na ufanisi?
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yakeInasikitisha sana wasomi na wale walioaminiwa kugeuza wezi na vibaka dhidi ya watanzania wengi wanaotegemea utumishi wao.
Mambo yamebadilika sana na kuna kila dalili yataanza kutupa changamoto ambazo wala hazina sababu yakuja.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, je polisi atakula wapi? Magereza atakula wapi? daktari atakula wapi? It was a mistake to come up with that statement in the first place!!!
Bora daladala tunajua watampiga ngumi ya chembe mwenye mali yake!!!
Dah unateseka ukiwa wap? Ume generalize labda kwa vile wewe umekosa. Hapo umekaa mpka unacheua maharage raha mstarehe ni kwamba muda huo watumish wanahakikisha mipaka ipo sawa, umeme upo sawa,ukiumwa utaenda utawakuta na utapata huduma sawa,hela zako benk mifumo ipo sawa kot huko watumish.sasa wewe mbona huna shukranWatumishi wengi wa umma wamepata nafasi hizo kwa njia zisizohalali na kuwaacha wenye uwezo wanasaga lami mitaani! Connection, rushwa, undugunization, ukabila.
Kama ningekuwa na mamlaka ningeweka mwekezaji kwenye huu mradi chap kuwaachia watendaji wa serikali asiliamia 100 ni kujikaanga wenyewe maana kama hali ikiendelea hivi miaka 2 mbele yakmtabaki mabasi matatu tu..Uongozi wa mwendokasi umekiri kwamba wameshindwa kuendesha miradi husika na hivyo wanasubiri hadi serikali inunue mfumo wa Artificial Intelligence wakuongoza magari. Hayo yamesemwa leo katika mahojiano baina ya waandishi wa habari na viongozi wa mradi husika.
Baada ya viongozi hawa kusema wamekwama, nimejaribu kuangalia umri wa kiongozi huyu, uwezo wake wa kuchakata issue nikabaini tuna watu wasio sahihi kwenye miradi yetu.
Kibiashara kuongezeka kwa abiria ni opportunity lakini kwa huyu kiongozi anatamani abiria wapungue. Kama huyu mtu yupo ofisini na analipwa salary tunategemea miradi hii iwe na ufanisi?
Inasikitisha sanaWatumishi wengi wa umma wamepata nafasi hizo kwa njia zisizohalali na kuwaacha wenye uwezo wanasaga lami mitaani! Connection, rushwa, undugunization, ukabila.
Tatizo uharibify unafanywa na CCM wenyewe kwa;Yaani ulitakiwa ushangae kama huo mradi wa DART ungekuwa unafanya kazi vizuri, rekodi zinaonyesha kwamba HAKUNA hata mradi mmoja ambao umeleta TIJA chini ya serikali hii dhalimu ya CCM;
Miradi ya UMEME -Zero
Miradi ya Maji-Zero
Shirika la Ndege- Zero
TTCL- Zero
Vivuko,Kigamboni et al - Zero
DART - Big Zero