Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

Naona huyu kocha wa Simba hatamaliza msimu...
Akifika hata nusu Tu ya hii season ashukuru...
Hata asipomaliza, atakuwa ametuachia pumzi

1691695667744.png
 
Naona huyu kocha wa Simba hatamaliza msimu.

Akifika hata nusu tru ya hii season ashukuru.
Kocha bwege kweli hajui kitu timu inacheza aerial balls muda wote na aerial balls hamna kitu, flanks hamna kitu, hatuna flanks players wanaosumbua mabeki, midfield sifuri yaani ni aibu, beki za pembeni hazipandishi timu hii Simba kelele mingi nguvu sifuri, wachezaji waliingia na matokeo mfukoni
 
Na watakaomfukuzisha ni Bocco na Kubu Dennis
Chama pia atahusika sana kumfukizisha!! Play maker wa Simba ni Chama, halafu yeye anajifanya kumweka benchi!! Huyu kocha ana kiburi sana!!. Anaonea wivu ufalme wa Chama alio nao hapo Simba!! Ameshindwa kabisa kutengeneza first eleven ya kueleweka!!
 
Chama Leo alikua kafungiwa kutokana na red card ya msimu uliopita, nyi kenge mnajaza tu server za jf wakati hamfatilii mpira
 
Tulishasema siku nyingi na tunarudia kusema hii team wangemuacha Mgunda aliiweza sana na ball lilikuwa linatembea si mchezo. Tunababaika na rangi ya ngozi wakati kocha hajui kitu. Yaani team haichezi vizuri ni butua butua tu, no clear game plan ya kutafuta ushindi yaani bora liende, kwa mpira huu super league tutatia aibu aisee. Amekariri first eleven yake humweluezi kitu na Kibu Denis wake
 
Chama pia atahusika sana kumfukizisha!! Play maker wa Simba ni Chama, halafu yeye anajifanya kumweka benchi!! Huyu kocha ana kiburi sana!!. Anaonea wivu ufalme wa Chama alio nao hapo Simba!! Ameshindwa kabisa kutengeneza first eleven ya kueleweka!!
Hata hujui kwa nini Chama hajakuwepo kwenye mchezo wa jana unakoroma tu kama mlevi wa chang'aa.
 
Mtoto WA sheickh Yahya Hussein.

HONGERA MTABIRI TAMBI TAMBI.

1. Binafsi Imani yangu ya Kikristo Inanikataza sana Ma UBASHIRI, UTABIRI NK.

2 ACHA KUMUOMBE BINADAMU MWENZIO MABAYA HUO NDIO UCHAWI WENYEWE.

WEWE una uhakika hata WA kuniona kesho???????????????
 
Chama pia atahusika sana kumfukizisha!! Play maker wa Simba ni Chama, halafu yeye anajifanya kumweka benchi!! Huyu kocha ana kiburi sana!!. Anaonea wivu ufalme wa Chama alio nao hapo Simba!! Ameshindwa kabisa kutengeneza first eleven ya kueleweka!!

AMA KWELI UJINGA NI KIPAJI.
 
Kocha bwege kweli hajui kitu timu inacheza aerial balls muda wote na aerial balls hamna kitu, flanks hamna kitu, hatuna flanks players wanaosumbua mabeki, midfield sifuri yaani ni aibu, beki za pembeni hazipandishi timu hii Simba kelele mingi nguvu sifuri, wachezaji waliingia na matokeo mfukoni
Beki za pembeni zimeshachoka walipaswa kuwepo mbadala wao na bado beki ya kati kizungumkuti
 
Back
Top Bottom