Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
22,976
Reaction score
22,564
Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake.
IMG_20210224_073409.jpg

NB: Wanaishi banda moja
 
Anaumwa mafua ya kuku....dawa zipo nyingi.....kuna fluban,tylodox.n.k
 
Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake
NB: Wanaishi banda moja
Kuhusu kuku wanaotagia pamoja waache tu usiwatenganishehata vifaranga vikitotolewa watalea pamoja
 
Kuhusu kuki wanaotagia pamoja waache tu usiwatenganishehata vifaranga vikitotolewa watalea amoja
Kwenye kulalia mayai inakuwaje? Na ikitokea mmoja kaanza kulalia mwingine bado inakuwaje?
 
Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake
NB: Wanaishi banda moja
Tafuta tylosin powder(kuku)
 
Back
Top Bottom