Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu, hilo nalo neno. When Love is with Love, Love does not know who Love is, when Love is away from Love, Love knows who dear Love was. Kilangila.Yawezekana kipindi hicho mshauri wake mkuu alikua mkewe ndo maana ubongo ulikua upo sawasawa
Hapana Mkuu, Mwakyembe alikuwa vizuri sana. Kama ile polonium haiku mmaliza, basi usemi ule unahusika "Kama huwezi shindana nao, ungana nao". Sijui kama ni tafsiri sahihi, maana origin yake ni kiingereza. Kilangila..Mnajidanganya kudhani Mwakyembe ndiye alidondosha mbuyu 2008. Yule alikuwa JK na Sitta walifanya kupitia Harrison. Mwakyembe mnafiki hana ujasiri huo alitumika kama toilet paper
Kuhusu bunge la katiba,vuta kumbukumbu vizuri. Mwakyembe alikana dissertation yake kuhusu serikali tatu. Manguli Tundu Lissu alimuumbua.
Huu ni mwendelezo wa Mwakyembe kutumia kama toilet paper.
Israili alituangusha sana wakati ule alisharahisishiwa kazi.Hata Mwakyembe! of all people, mwakyembe huyu aliyekuwa anapukutika ngozi vumbi mwili mzima?! kweli dunia tambala bovu!
Alisema ndani siku 3, huu mwezi wa pili. Ina Jiwe alikuwa anatuzuga?Tuweke kumbukumbu sawa kwanza, nilimsikia IGP akisema angetolea maelezo suala la MO ....alifanya hivyo!?
Samahani maana wengine tunaishi maeneo ambayo hatuwezi kujua yote yanayoendelea.
Aliwahi toa tamko watakaofunga ndoa wote Tz wawe na vyeti vya ndoa ! Nikashtuka nikajua na kuamini walioko kule akili zinapungua ! Walioko huku akili zinaongezeka !