Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

wabongo acheni unafiki,hiyo picha yuko swimingi pulu,ulitaka aogelee na dela? unaponda huku unapenda....acheni watu waishi maisha yao bana,unamsema Lina ila ukiona picha km hiyo ya Minaj unaweka na sreensaver kabisa
[emoji817][emoji3581]
[emoji419]
[emoji382]
 
Una namba zake nimuonye?
 
Haya machupi mabaya kwa wanawake hata hayawapendezi
 
Dah...
Lina na mama angu ni..... na ....
 
Musambwanda ndio habari ya mujini
 
Kidem chenyewe kifupi. Mwanamke mfupi hata hana msisimko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…