wale wale waliolalamika khs kodi ya simu cards ndo hao hao waanga wa hii kodi ya nyumba kama itapitishwa, si ndo wapangaji namba one, so mwenye nyumba atakachofanya na kupandisha kodi ili kuweka kodi ya serikali inayopigiwa debe na makamba, then mzigo wote unamlemea mpangaji ambaye ni wewe na mimi tuliolalamikia kodi ya simu cards. Hope umeelewa hoja yangu sasa, but I stay to be corrected!