Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Nimepanga sehemu moja hapa DSM lakini Mama mwenye nyumba simwelewi kabisa!!!
Wakati tunaingia naye mkataba MASHARTI yalikuwa machache sana but akaongeza mengine yafuatayo:
1. Hataki wageni wengi iwe wa KIKE au KIUME.
2. Hataki nitembelewe na WATOTO rum kwangu kuanzia 0-10 yrs.
3. Akija MGENI wa aina yoyote lazima nikamtambulishe kwake.
4. WAGENi mwisho kunitembelea saa 12 jioni.
5. Hataki kusikia hata SAUTI ndogo ya MUZIKI wowote.
Mbaya zaidi akiona nimeleta BINTI anakuja kukaa karibu na MLANGO wa rum ili asikie mnafanya nini ndani!!! Huyu MAMA anatatizo gani??!!
HAPPY NEW YEAR 2011!!!
Anakupenda huyo, hataki kuona unaharibu maisha yako kwa mambo ya mpito...:teeth:
EG. Unataka mama wawatu atumie lugha ipi umuelewe???
hama hiyo nyumba shem....haikufai
Inabidi nihame shem maana kila siku ni vituko hapa home!!
Itafikia kipindi atamkataza hata M........ kuja kwangu!!!
Akikaa mlangono toka nje uchi kabisaaa
Uone kama atakaa tena :bounce:
Akikaa mlangono toka nje uchi kabisaaa
Uone kama atakaa tena :bounce:
na huo ndio wasiwasi wangu shem.....tafadhali hama
Akikaa mlangono toka nje uchi kabisaaa
Uone kama atakaa tena :bounce: