Huyu mama nimemkubali, napenda kumuona 2014 anagombea uraisi

Kwani mkuu we ukishamkubali mtu ni lazima agombee uraisi?wenzetu hawako kiivyo kama sisi.
 


Ningefurahi zaidi kama angesimama kwenye hii picha!
 


Ningefurahi zaidi kama angesimama kwenye hii picha!

teheteheteheheeeeeeeeeeeeee, unataka kuona kitumbua cha onyango!, kwani cha manka au kadogoo hujawahi kukiona?!, nadhani unalaana si bure.
 


Ningefurahi zaidi kama angesimama kwenye hii picha!

Picha imechongwa kaka.......mtu hawezi kuwa serious hivyo ndani ya maji...halafu aoge na hereni,nywele wazi na makeups kibao...mmh...hata Kidawa wangu wa Kipawa hadhubutu
 
Ya condoleza ni kichwa hasa. nasikia bado yupo yupo sijui kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…