Huyu mama sijui anawaza nini!

Wewe uliyepiga picha na ulikuwa nae site hujamuuliza alikuwa anawaza nini,ukakimbilia mitandaoni kuja kuwalazimisha watu waanze kupiga ramli chonganishi,muuulize weewe
 
Wewe uliyepiga picha na ulikuwa nae site hujamuuliza alikuwa anawaza nini,ukakimbilia mitandaoni kuja kuwalazimisha watu waanze kupiga ramli chonganishi,muuulize weewe
Hii ndo hali halisi ya maisha ya kitaa!
 
Amepitiwa na usingizi hapo amepitia kwa mama muunza ameshtua kidogo sasa alivyofika road jua kali zimemchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…