Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Huo ni wa mhugo mkuu π πUgali wao tepetepe stiff porridge mboga mlenda Pori unateleza tu
Ndio hivyo Ugali wa waCongo ni km wanaijeria Ugali uji hawalagi Ugali mgumu km watzHuo ni wa mhugo mkuu π π
Tena sio kumeza anabugia
Bora umenisaidia nimekaa nao hao pia ugali wanakula hivyo hivyo mara yangu ya kwanza nilishangazwa sana.Kiukweli ndivyo wakongo wengi walavyo ugali...nimeishi nao