Huyu manzi kwani veeepe...!!

zunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
1,529
Reaction score
1,068
Huyu manzi nmekaa naye kwa muda mrefu kidogo, tukisaidiana maisha yaende. kipindi namtongoza nilikua napiga vimlinzi (bia) hatari hatari, ilifika sehemu napiga vimlinzi hadi nalala hukohuko tukutane kesho maghetoni nikirudi. Na kipindi iko si kama alikua hajui, alikua anajua na akakubali swaga akaingia kwa mnyama mwenyewe.
Siku zimeenda na wakat unapita, asa naona kwenda zake chuo kunamletea jeuri wakati wenyewe tushapitaga uko kitambo, mara kaanza masharti kibao na kujiona yeye ndo kama nshamuoa vile wakati hata kwao hawanijui, kwetu hawakajui, wala hatujawahi kuishi pamoja.
Masharti yake ni kama haya, eti niache pombe, na nisiwe natoka usiku.Kakanipigia hesabu jumla ya bia nazokunywa na kile kinachoitwa hasara nayopata kwa kunywa...eti nikisave izo hela ntajenga nyumba hadi magogoni...!!
je nkaache au niendelee nako..????
 
H i y o h e a d l i n e i n a s a u n d k a a m a d e m u n d i y o a l i y e l e t a m a l a l a m i k o!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…