Huyu Mary Edward aliyekuwa mtangazaji wa Radio Magic yuko wapi?

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Mtangazaji tajwa hapo alikuwa ni mtangazaji mahali na mweledi sana katika kazi yake. Tume - miss sauti yake kwa muda mrefu sasa, yeyote mwenye kujua alipohamia au alipo atujuze tafadhali.
 
Vipi bado hajarudi hapo ofisini!? Labda alichoshwa na muelekeo wa kumtukuza bwana mkubwa na chama chake.
 
si yupo Channel 10 Baragumu daily namuona, au nimechanganya madawa
 
Mtangazaji tajwa hapo alikuwa ni mtangazaji mahali na mweledi sana katika kazi yake. Tume - miss sauti yake kwa muda mrefu sasa, yeyote mwenye kujua alipohamia au alipo atujuze tafadhali.
Yuko china anasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…