Huyu 'Masanja Mkandamizaji' amechemka hapo, kwanza ana vyeti vya shughuli zake?

Huyu 'Masanja Mkandamizaji' amechemka hapo, kwanza ana vyeti vya shughuli zake?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Kuna nchi nyingine wanafanya mahojiano na wananchi kwa namna alivyofanya 'Masanja', lakini maudhui yote inawekwa hewani, sasa huyu iweje afanye censorship - kuchagua hasi tu? Kwanza alihoji wangapi? Na wangapi walikuwa hawajui?

TCRA wanatakiwa kumhoji pia kwa suala hili.

Pia je ana taaluma ya uandishi wa habari? Kasomea uchungaji?



Sikiliza kipindi alichofanya.



Tazama huko kwingine wanavyofanya



Hii ya wenzetu, je si kweli wengine wanashida upstairs?
 
Back
Top Bottom