kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Ipo mechi 1 Yanga walishinda goli zaidi ya 4 kipindi hicho Simba yuko Morocco kujiandaa kucheza klabu bingwa ya Afrika.Nitajie mechi aliyofunga zaidi ya goli Moja
Hapa mkuu haujaleta Usimba wala Uyanga safi.Mayele ni stricker mzuri sababu ni kinara wa kufunga magoli.
sifa kuu ya stricker ni kufunga magoli.
swali ni je'atadumu kwa misimu mingapi kua kinara wa ufungaji na pia ataendeleza ubabe wake wa ufungaji kwenye mechi za kimataifa?,ngoja tusubiri.
Kimataifa..yes , kupitia kwa msemaji wao msomi mwenye degree mbili za south africa na china bwana Hajj manara Yanga sc walitangaza kwamba mwaka huu watachukua ubingwa wa Afrika na wataanzia round ya kwanza siyo ya awali, inarajiwa Fiston mayele ataibuka top scorer wa CAf champions leagueMayele ni stricker mzuri sababu ni kinara wa kufunga magoli.
Sifa kuu ya stricker ni kufunga magoli.
Swali ni je'atadumu kwa misimu mingapi kuwa kinara wa ufungaji na pia ataendeleza ubabe wake wa ufungaji kwenye mechi za kimataifa? Ngoja tusubiri.
Kijamaa una ujinga mwingi sana hujijui tu.Kimataifa..yes , kupitia kwa msemaji wao msomi mwenye degree mbili za south africa na china bwana Hajj manara Yanga sc walitangaza kwamba mwaka huu watachukua ubingwa wa Afrika na wataanzia round ya kwanza siyo ya awali, inarajiwa Fiston mayele ataibuka top scorer wa CAf champions league
kolo ni kolo tunajua makolo mna wivu sana kuna nilichoongea cha uongo hapo?Kijamaa una ujinga mwingi sana hujijui tu.
Cha ajabu magoli yake kuna team ukijumlisha fowadi zao zote hawamkutiStriker hajawahi hata kutoka na mpira uwanjani.ππ
Yanga vs kagera alifunga goli 2Nitajie mechi aliyofunga zaidi ya goli Moja
Ubora ni kufunga mechi nyingi siyo magoli mengi kwenye mechi moja tuNitajie mechi aliyofunga zaidi ya goli Moja
Ungeelewa tuGoli 12 tunapata tabu hivi, angefikisha 20+....
Ingekuwaje wakuu.
Aibe?Striker hajawahi hata kutoka na mpira uwanjani.[emoji23][emoji23]