Huyu mbunge aliyepeleka hoja Bungeni ya kumfuta kazi Gachagua atapata faida gani yeye kama yeye?

Huyu mbunge aliyepeleka hoja Bungeni ya kumfuta kazi Gachagua atapata faida gani yeye kama yeye?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu maana anaonekana ni Kijana mdogo halafu ni Wakili Lakini hajui hata ownership ya Kampuni inavyokuwa

Sijajua atafaidikaje kwa sababu Ushahidi wake mwingi ni kama kategeshewa vile

Au ndio yale ya ADANI 🐼

Mlale Unono 😀
 
hili ni jambo lenye maslahi mapana ya taifa sio mtu binafsi..

Faida ni pamoja na kwamba,
Kenya watapata Naibu Rais mwingine mpya, lakini pia watajifunza ubaya wa ukanda na ukabila, na zaidi sana ubovu wa katiba yao wenyewe kwenye mambo mazito ya Kitaifa 🐒
 
Yeye anatetea mali za umma alizoiba Gachagua

Alichaguliwa atetee watu na mali za wakenya sio afaidi yeye

Na katimiza wajibu wake.Faida atakayopata ni heshima kubwa ya kisiasa kusimama kidete kutetea mali za umma.Na hiyonitamoa mileage kubwa kisiasa huko.mbele Kenya wakitaka Raisi Safi aweza pewa Anajenga jina zuri kisiasa bado akiwa kijana
 
Nauliza tu maana anaonekana ni Kijana mdogo halafu ni Wakili Lakini hajui hata ownership ya Kampuni inavyokuwa

Sijajua atafaidikaje kwa sababu Ushahidi wake mwingi ni kama kategeshewa vile

Au ndio yale ya ADANI 🐼

Mlale Unono 😀
Ulitaka awe na miaka 400? Concern yako hapa ni nini hasa?
 
Huu mchezo utaisha kwa aibu au faida kwa ruto na genge laki. Maana Ruto naye alizibeba sana nasikia, wakati wa utawala uliopita.
 
Back
Top Bottom