johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
hili ni jambo lenye maslahi mapana ya taifa sio mtu binafsi..Nauliza tu maana anaonekana ni Kijana mdogo halafu ni Wakili Lakini hajui hata ownership ya Kampuni inavyokuwa
Sijajua atafaidikaje kwa sababu Ushahidi wake mwingi ni kama kategeshewa vile
Au ndio yale ya ADANI πΌ
Mlale Unono π
Nakubaliana na weweTeam Kenyatta ipo kazini baada ya kufanikiwa kumuingiza chaka Ruto.
Na amini usiamini, baada ya Gachagua Ruto ndiye afuataye.
Ulitaka awe na miaka 400? Concern yako hapa ni nini hasa?Nauliza tu maana anaonekana ni Kijana mdogo halafu ni Wakili Lakini hajui hata ownership ya Kampuni inavyokuwa
Sijajua atafaidikaje kwa sababu Ushahidi wake mwingi ni kama kategeshewa vile
Au ndio yale ya ADANI πΌ
Mlale Unono π
Haya mambo siyo ya kushupalia kihivyoUlitaka awe na miaka 400? Concern yako hapa ni nini hasa?
genius Ruto anaongoza Kenya hadi 2032 bila mbambamba yoyote πTeam Kenyatta ipo kazini baada ya kufanikiwa kumuingiza chaka Ruto.
Na amini usiamini, baada ya Gachagua Ruto ndiye afuataye.