MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho kimewakwamisha Watanzania kwamba kila rais anakuja na maono yake na mambo yake, hamna maono au dira ya taifa.
Hiki ndicho tuliboresha hapa Kenya kwenye katiba mpya, tuna dira ya kitaifa ambayo kila rais anayekuja anabanwa na katiba kuifanikisha, leo hii hata kwenye kampeni, wagombea wote kwetu hapa hubanwa waeleze namna gani watafanikisha dira yenyewe pale alipofikia anayeondoka.