Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Niulizie hapo, kama wanazo konyagi za baridi.Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. Natamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata kutembea kwa shida sasa na iyo ngozi ndo kabisa.
View attachment 2973086View attachment 2973089
Ni wako
Hapana sio ukatili. Kuna wakati hiyo ndio njia pekee ya kumpunguzia mateso na maumivu anayopitia. Kama umewahi kuwa mfugaji wa mbwa utaelewa. Kuna magonjwa ambayo akiyapata mbwa kupona ni ngumu ni lazima afe na kama unampenda mbwa wako kitaalamu inashauriwa kumpumzisha kuliko kuacha ateseke.Sasa mbwa upo naye hapo si umuulize mwenyewe ana changamoto gani?
Unamuonea huruma huku unataka kumuua? Kwa nini usingesema natamani hata nimpeleke kwenye sehemu za kutoa huduma za wanyama akahudumiwe na kulishaa kwa gharama zako?
Huruma ya kuua? Huo ni UKATILI.
Bora asiyemjali. Kuliko wewe unayedai kumuonea huruma huku unataka kumdedisha.
Kwanza, Euthanasia ni hatua ya mwisho kabisa baada ya matibabu mengine kugonga mwamba. Yaani mbwa ashatibiwa na daktari wa wanyama kushauri kuwa huyu hawezi tena kupona kwa namna yeyote.Hapana sio ukatili. Kuna wakati hiyo ndio njia pekee ya kumpunguzia mateso na maumivu anayopitia. Kama umewahi kuwa mfugaji wa mbwa utaelewa. Kuna magonjwa ambayo akiyapata mbwa kupona ni ngumu ni lazima afe na kama unampenda mbwa wako kitaalamu inashauriwa kumpumzisha kuliko kuacha ateseke.
Huyo mbwa anakaa kama vile amepata cancer ya ngozi.
Baada ya kusoma mchango wako, nikaona nifuatilie zaidiSasa yeye si mmiliki wa mbwa. Wala hajafanya jitihada zozote hata za kumsaidia apate matibabu na chakula. Sasa kwa nini aone njia ya kumsaidia ni kumuua?
Huyo mbwa pengine amekosa chakula tu ama amekula sumu. Anahitaji matibabu kidogo. Sioni dalili za kansa hapo. Unless otherwise, wewe ni mtaalam zaidi.
Baada ya kusoma mchango wako, nikaona nifuatilie zaidi
=
View attachment 2973280
=
Ingekuwa katika nchi za wenzetu, hapo ni swala la kupiga simu moja tu, Gari inafika na kumchukua mbwa na kupelekwa kwenye kituo maalumu kwa matibabu na kutunza, Mfano video hizi mbili.
View: https://www.youtube.com/watch?v=oKSN-q9okGA
View: https://youtu.be/gKpQanid194
Nani alikufundisha huo uhuni?Unaweza kuumba hata manyoya tu?Huna haki wala sababu ya kuua usichoweza kukiumba na hakijakukosea chochote.Hapana sio ukatili. Kuna wakati hiyo ndio njia pekee ya kumpunguzia mateso na maumivu anayopitia. Kama umewahi kuwa mfugaji wa mbwa utaelewa. Kuna magonjwa ambayo akiyapata mbwa kupona ni ngumu ni lazima afe na kama unampenda mbwa wako kitaalamu inashauriwa kumpumzisha kuliko kuacha ateseke.
Huyo mbwa anakaa kama vile amepata cancer ya ngozi.
😂 hatariMbwa koko anekula pedi iliyotumika lazima anyonyoke manyoya
Yeah upo sahihi , kumpumzisha ni hatua ya mwisho baada ya kuona hali haitokuwa sawa baada ya uchunguzi wa kitaalam.Kwanza, Euthanasia ni hatua ya mwisho kabisa baada ya matibabu mengine kugonga mwamba. Yaani mbwa ashatibiwa na daktari wa wanyama kushauri kuwa huyu hawezi tena kupona kwa namna yeyote.
Sasa yeye si mmiliki wa mbwa. Wala hajafanya jitihada zozote hata za kumsaidia apate matibabu na chakula. Sasa kwa nini aone njia ya kumsaidia ni kumuua?
Huyo mbwa pengine amekosa chakula tu ama amekula sumu. Anahitaji matibabu kidogo. Sioni dalili za kansa hapo. Unless otherwise, wewe ni mtaalam zaidi.
Nakubaliana nawe kuwa Euthanasia ni njia sahihi lakini hata wanaoshauri hivyo wanasema ni maamuzi magumu mno. Na taratibu za kufanya hivyo zinafanywa na daktari wa mifugo, si mtu baki tu. Na yeye hushauri hivyo baada tu ya kuona HAKUNA njia nyingine yeyote iliyobakia ya kuweza kumuokoa.
Mkuu mtoa mada kama kweli anamhurumia huyo mbwa, ampeleke kwenye matibabu.
Mkuu huwa unachinja kuku? Mbuzi? Unaweza kuwaumba?Nani alikufundisha huo uhuni?Unaweza kuumba hata manyoya tu?Huna haki wala sababu ya kuua usichoweza kukiumba na hakijakukosea chochote.