Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

Uwezekano mkubwa ni maambukizi ya mange mites. Yanatibika. Suluhisho ni kutafuta mtaalamu wa tiba ya amshughulikie.
 
Mkuu huwa unachinja kuku? Mbuzi? Unaweza kuwaumba?
Hilo la kumuua mnyama au ndege kwa madhumuni ya kitoweo si kosa/dhambi.Kama haitoshi,wenye imani kidini (Mungu) wanaelekezwa kuwatumia kwa chakula kwa kuwachinja.Hiyo ni tofauti na kupiga/kuchinja kwa madhumuni ya kupoteza uhai tu.
 
Wewe hujanielewa; nimekwambia anaonekana yupo kw maumivu makali na anaonekana mgonjwa; kwani hata euthansia c wanapewa wagonjwa ambao wapo kw mateso na maumivu makali ambao hawawezi kupona ila wanawasaidia kuondoka vizuri. Wapi nimesema nataka kumuua km unavyodhani? Kila kiumbe kitakufa na mbwa lifespan yao ndogo zaidi.
 
Sio wangu; namuonaga tu mtaani na anatia huruma
 
Mbwa wa mtaani huyo, alafu wanakuwa wepesi sana kuwamiliki.

Unamdanganya na vyakula kila siku anahamia kwako.

Unamtafuta daktari anamtibia akikaa miezi miwili huwezi kuamini kama ndio huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…