Huyu mchambuzi anateswa sana na pesa za GSM

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Amekuwa na ugomvi katika nafsi yake kutokana na kuchambua matukio ya timu anayoichukia kishabiki sana hadi kutoka nje ya ukweli jambo linalofanya atukanwe sana mitandaoni.
Sasa anajaribu kuwajibu wanaomtukana kwa kuwatabiria eti hiyo picha hapo juu inaeweza kujirudia huku kwetu na mashabiki wakaileta kama utetezi wa makosa ya mwamuzi.

Kwa akili yake anaamini waamuzi wanaangalia picha kama yeye ili kuamua.Lakini waamuzi ni binadamu na sifa ya binadamu ni lazima akosee.

Nakushauri uwe na weledi tu,uache mahaba na pesa za mwarabu kwani siku moja utaumbuka sana
Screenshot_20220227-140718.jpeg
 
Kosa lake ni kujaribu kuchambua makosa ya waamuzi yanayotokea kwenye timu asiyoipenda tu bila kuyaona makosa ya waamuzi hao hao wanapoipendelea timu yake.
Hata hivyo jambo hili haliwezekani kwa binadamu kuwa kipofu isipokuwa tu kwa mambo mawili- Mapenzi na hongo.
Kosa lake nini sasa hapo? Mbona kasema kweli? Au kuna timu inajihisi kupendelewa? [emoji16]
 
Kosa lake ni kujaribu kuchambua makosa ya waamuzi yanayotokea kwenye timu asiyoipenda tu bila kuyaona makosa ya waamuzi hao hao wanapoipendelea timu yake.
Hata hivyo jambo hili haliwezekani kwa binadamu kuwa kipofu isipokuwa tu kwa mambo mawili- Mapenzi na hongo.
kwa hiyo haipendi Man City?
 
Amekuwa na ugomvi katika nafsi yake kutokana na kuchambua matukio ya timu anayoichukia kishabiki sana hadi kutoka nje ya ukweli jambo linalofanya atukanwe sana mitandaoni.
Sasa anajaribu kuwajibu wanaomtukana kwa kuwatabiria eti hiyo picha hapo juu inaeweza kujirudia huku kwetu na mashabiki wakaileta kama utetezi wa makosa ya mwamuzi.

Kwa akili yake anaamini waamuzi wanaangalia picha kama yeye ili kuamua.Lakini waamuzi ni binadamu na sifa ya binadamu ni lazima akosee.

Nakushauri uwe na weledi tu,uache mahaba na pesa za mwarabu kwani siku moja utaumbuka sanaView attachment 2132933
Mbona wewe unaonekana unateseka na GSM dada?
 
Back
Top Bottom