Amekuwa na ugomvi katika nafsi yake kutokana na kuchambua matukio ya timu anayoichukia kishabiki sana hadi kutoka nje ya ukweli jambo linalofanya atukanwe sana mitandaoni.
Sasa anajaribu kuwajibu wanaomtukana kwa kuwatabiria eti hiyo picha hapo juu inaeweza kujirudia huku kwetu na mashabiki wakaileta kama utetezi wa makosa ya mwamuzi.
Kwa akili yake anaamini waamuzi wanaangalia picha kama yeye ili kuamua.Lakini waamuzi ni binadamu na sifa ya binadamu ni lazima akosee.
Nakushauri uwe na weledi tu,uache mahaba na pesa za mwarabu kwani siku moja utaumbuka sana
View attachment 2132933