ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mkuu wewe ndio umeonesha "upumbavu" wa hali ya juu kabisa katika suala hiliWakuu Wasalaamu.....!!!
Leo nimeona mchezaji Kutokea Toto African akisign mkataba wa kujiunga na AZAM FC kwa mkataba wa miaka 2...Anaitwa WAZIRI JUNIOR lakini chakushangaza ni jinsi alivyokuwa akisign mkataba wake huku akiwa amezungukwa na Watu
Amesign kwa kutumia Dole gumba...Na hii sahii hutumiwa na wale watu wasio Jua kusoma na kuandika ndio huchovya kidole gumba kwenye wino na kuweka sehemu ya sahihi!
Sasa swali ninalo jiuliza ni Je huyu mchezaji kama hajui kusoma na Kuandika Je mkataba wake atakuwa ameuelewa kweli au ndio wale huja kusumbua watu kwa mikataba?View attachment 519873
mwandika post ujielewi Dore gumba ni finger print kuna electronics finger print na hizo ni muhimu
Kila mkataba una sehemu ya dole gumba hata uwe profesa.Ile ndo inathibitisha ni wewe maana ni fingerprint.Wakuu Wasalaamu.....!!!