Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Swali la kijinga sana ! hivi hela za Simba ni za nani ?Ulichangia sh. Ngapi kwenye usajili.
Au Mashahidi wa JehovaSiyo kila mzungu ni mchezaji wa mpira, wengine ni waimbaji wa rege.
[emoji3][emoji3][emoji3] si Yanga tunawapeleka puta mnajisajilia chochote mnachoaminishwa safari hii mtasajiri hadi mhindi maana dirisha bado lipo waziNimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Federico wa Singida alionyesha ubora ktk game ile ile mojaLini alifanya mazoezi na wenzake? Acheni ku judge mtu mapema. Tumpe muda ndio tuseme
Na Aziz Ki wa Yanga?Federico wa Singida alionyesha ubora ktk game ile ile moja
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Bro mie ni yanga lakini nakwambia yule Mserbia ni bonge la mchezajiNimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Ajabu, ana siku moja tu watu washaanza kuropokaLini alifanya mazoezi na wenzake? Acheni ku judge mtu mapema. Tumpe muda ndio tuseme
Mchezaji dakika 15 anagusa mpira mara tatu tu huyo ni mchezaji kweli?Mchezaji ameingia ameingia dakika ya 76 na amegusa mpira kama mara tatu tu sidhani kama inatosha kumjaji kama ni mzuri au mbaya
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Nikijua unaongelea mpira ukiwa na facts kumbe huna, hao wabrazil walikaa na Singida BS for almost a week wakifanya majaribio halafu unakuja kudanganya watu? [emoji23]Federico wa Singida alionyesha ubora ktk game ile ile moja
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Swali la kishogaUlichangia sh. Ngapi kwenye usajili.
Apewe muda. Game ya jana ni showcase tuNimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Lukaku alicheza dakika 90 akagusa mpira mara 7, moja ikiwa ni ile kick off.Mchezaji dakika 15 anagusa mpira mara tatu tu huyo ni mchezaji kweli?
Upo kishabiki au kiunamichezo? Maana Watanzania wengi simba & yanga kuna muda zinawafunga akili.Usimfananishe Lukaku super striker na huyo Mburushi
Sikutegemea kupata maoni kama haya, asante Mkuu. Walevi wanaongea chochote.Upo kishabiki au kiunamichezo? Maana Watazanzania wengi simba & yanga kuna muda zinawafunga akili.