Huyu mchezaji wa Juventus anaitwa Samuel Mbangula, hivi ndio yule aliewashugulikia Simba?

Huyu mchezaji wa Juventus anaitwa Samuel Mbangula, hivi ndio yule aliewashugulikia Simba?

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Inakuaje huyu jamaa anajina la kibongo au ndio yule aliewashugulikia simba jamaa anaitwa samueli mbangula kama unavyomuona hapo kwenye picha.

1739346946495.png
 
Mpanzu, mbangula ni wacongo hawa, ifike muda huko ulaya tusikie mwakingwe, masawe, tibanyendera, ighondo, ngonyani, chiligati, maganga
 
Back
Top Bottom