Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Aisee mbona Hadi majina ya mwanzo yanaendana au ni nduguHapana siye Yule
Anaitwa Samson Mbangula Askari wa jeshi la magereza.
Inawezekana,ila dogo ni mbelgiji mwenye asili ya DRC hapo Kwa TshekediAisee mbona Hadi majina ya mwanzo yanaendana au ni ndugu
Duuh sawaInawezekana,ila dogo ni mbelgiji mwenye asili ya DRC hapo Kwa Tshekedi
Mbona Samson Mbangula afande ni mtanzaniaMpanzu, mbangula ni wacongo hawa, ifike muda huko ulaya tusikie mwakingwe, masawe, tibanyendera, ighondo, ngonyani, chiligati, maganga
aitwe kikosi cha starsMbona Samson Mbangula afande ni mtanzania
Hana uwezoaitwe kikosi cha stars
Wakimbizi Tz wapo wengi tu mbona! Tena wengine wako ngazi za juu kabisa za maamuziMbona Samson Mbangula afande ni mtanzania
DuuhWakimbizi Tz wapo wengi tu mbona! Tena wengine wako ngazi za juu kabisa za maamuzi