Huyu Mchina wa kwenye Azama Marine, unamjua?

Huyu Mchina wa kwenye Azama Marine, unamjua?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee

N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa zinaishiaa kwenye maji

Nilibahatika majuzi kumsikiliza nikielekea znz. Yuko serious na kazi yake penye utani utachrka nae na anauliza je unamaswali weyeeee??

Tusiache kupanda azam marine kupata wafurahishaji kama hawa

Hapo anamwambia fei toto akitka kuoa atampa mwanae wa kike ana watoto 8 mmh sijui hizi hashwa wanazitoa wapi

Na mke mmoja anamsifia kweli akiwa kwenye botii...
Screenshot_20240916-103057_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom