Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Sep 16, 2024 #1 Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa zinaishiaa kwenye maji Nilibahatika majuzi kumsikiliza nikielekea znz. Yuko serious na kazi yake penye utani utachrka nae na anauliza je unamaswali weyeeee?? Tusiache kupanda azam marine kupata wafurahishaji kama hawa Hapo anamwambia fei toto akitka kuoa atampa mwanae wa kike ana watoto 8 mmh sijui hizi hashwa wanazitoa wapi Na mke mmoja anamsifia kweli akiwa kwenye botii...
Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa zinaishiaa kwenye maji Nilibahatika majuzi kumsikiliza nikielekea znz. Yuko serious na kazi yake penye utani utachrka nae na anauliza je unamaswali weyeeee?? Tusiache kupanda azam marine kupata wafurahishaji kama hawa Hapo anamwambia fei toto akitka kuoa atampa mwanae wa kike ana watoto 8 mmh sijui hizi hashwa wanazitoa wapi Na mke mmoja anamsifia kweli akiwa kwenye botii...
Baba wa mbingu JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 286 Reaction score 749 Sep 16, 2024 #2 ulipie tangazo
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Sep 16, 2024 #3 andika vizuri na kwa utulivu