First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
FB ungenieleza japo kidogo huyo mshairi ansemaje?ungekuwa na muda ningekushauri uende library ukasome poetry mmoja inaitwa Summons, ambapo ndani yake utakutana na poem mmoja iliyoandikwa na Isaac Mruma, inaitwa You are Lost,

naamini utafunguka mawazo.
njia panda ya himo!!! Ako kademu ka mizinga shemeji!!habari jf!nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!nipo njia panda ...nawakilisha!
Ina maana siku hizi dini ya ALLAH inafundisha uzinzi? ni kwa nini unafanya zinaa kabla ya ndoa?

Nipo nipo mjini namudu mahitaji yangu muhimu. Nae anatarajia kutafuta kazi. Japo sio zaidi. Pia kimitazamo nafikiri sote tunahitajiana. Linalonikosesha raha hilo la kutonipa go ahead kufunga ndoa sasa! Ati anambia yeye hana wazo la kuolewa sasa!
A- hadi apate kazi?
B- tupo wachumba zaidi ya mmoja?
C- ana nijaribu?
My take!
Nami naanza kumchoka maana yale mapenzi niliokua nayo kwake yanazidi kupungua kila siku!
Ndio maana naona isije kua shaytwan amenipanda naanza kumchukia!
Ningekua namzini nisingekua namlaumu! Nahitaji ndoa kutokana na mafundisho ya dini/iman yetu.Ina maana siku hizi dini ya ALLAH inafundisha uzinzi? ni kwa nini unafanya zinaa kabla ya ndoa?
Namuelewa kwani sasa kuna jambo anasubiri lifanikiwe...ila halina hakika litachukua mda gani? Ngoja nijarib kufuata huu ushaur wako.mwelewe to kwa kauli yake.....kwa sababu kauli zetu ndizo zonazotuhalalisha na kauli hizohizo ndizo hutuhukumu...............kama wewe huna subira angazaangaza.....utapata mwingine.....................kama una subira basi msubiri mpaka undani wake atakapokueleza..........
Sijawahi kuomba hiyo kitu!Mkuu,sio kwamba anakuchuna kisha baadae asepe? nonino vipi kama kawa?
tulia na mpenzi wako anakupenda.miaHabari JF!nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!Nipo njia panda ...Nawakilisha!

mkwe wa kambo,una mning'inio eeh? sasa mwenzio anazungushwa kufunga ndoa, angekua wife wake angeteka kufunga nae ndoa?

Mhhhhh great thinker nooomaaa!mpe mimba atakubembeleza mwenyewe hiyo ndoa!
Nahisi utakua Mod wa hili jukwaa!

mkwe humu kuna vioja, kuna siku alikuja kusema ana hofu watoto wake wamejiunga jf. Kumbe mama yao bado hajaolewa! Mmh!

Nahisi utakua Mod wa hili jukwaa!

Mda mwingine hua third part!

Achana nae