Kwani akiolewa na mkulima ni mkosi?!!* tuliambiwa tu some SAYANSI tukakataa.
Jamaa amekaa siti ya mbele kabisa na mchumba ake pale ibadani.... pastor anaendelea na mahubiri. .
Ghafla pastor kamnyoshea kidole Shemeji angu (yule Binti)... AKasema "BINTI... MUNGU AMEKUBARIKI ... UTAOLEWA NA ENGINEER"
Watu wanashangilia ... Ali Lili Lili liiiiiii....
Sema Amina ?????
Binti: AMINA .
Mchungaji: sema Amina na imekuaaaa ushangilie kwa nguvu.
Binti: anasema Amina ananyanyuka kushangilia.
Mama ake na Binti anaenda mbele ana mtunza mchungaji pesa mingi Sana.
#BASI JAMA AMEGOMA KUSALI MPAKA LEO IMEPITA MYEZI MOTANO HAJAKANYAGA CHURCH NA HATAK KUSIKIA HABARI ZA WACHUNGAJI.
🤣🤣🤣🤣
Hadith hii itakuwa imeozaHadithi yako ina funza
We fuata maandiko!Siku ukijua hila na ghiriba za wachungaji huwezi jisumbua kwenda kanisani
Ni sahihiWe fuata maandiko!
Mchungaji anamjua mchumba wa huyo binti ni mwalimu sio injinia, na binti alienda kumwambia mchungaji hataki kuolewa na huyo mwalimu kuna injinia anamfukuzia amuoe lakini anashindwa kumwambia mchumba mwalimu hamtaki tena! Hela alizopewa mchungali walikubaliana kimbele* tuliambiwa tu some SAYANSI tukakataa.
Jamaa amekaa siti ya mbele kabisa na mchumba ake pale ibadani.... pastor anaendelea na mahubiri. .
#BASI JAMA AMEGOMA KUSALI MPAKA LEO IMEPITA MYEZI MOTANO HAJAKANYAGA CHURCH NA HATAK KUSIKIA HABARI ZA WACHUNGAJI.
🤣🤣🤣🤣
hao jamaa wajanja sana, na kwakweli ni wachonganishi mbaya sana,* tuliambiwa tu some SAYANSI tukakataa.