EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea.
Muwe na siku njema iliyobarikiwa na Mungu wa Mbinguni 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Muwe na siku njema iliyobarikiwa na Mungu wa Mbinguni 🙏🏻🙏🏻🙏🏻