EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kama mahubiri yake yanakufurahisha wewe usiyekuwa mfuasi basi bado hujajua kweli. Mahubiri ya kweli yanapaswa kukutoa gizani na kukuleta nuruni. Haiwezekani kweli ihubiriwe halafu ubaki jinsi ulivyo, huyo ni inspirational speaker tu.Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea.
Muwe na siku njema iliyobarikiwa na Mungu wa Mbinguni [emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Tupia clip ya video mkuuHuyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea.
Muwe na siku njema iliyobarikiwa na Mungu wa Mbinguni ππ»ππ»ππ»
View attachment 2365269
Yes hayo hayoAnahubiri nini? Kubarikiwa, maisha ya wokovu/utakaso au siku za mwisho? Kwa maana kuna mafundisho ya msingi siku hizi hayafundishwi
Kazi mkuu nafanya kuanxia sa 2-10, usinifundishe kutafuta hela mkuu. NajimuduChapa kazi mkuu mahubiri hayaleti chakula kwa meza licha ni chakula Cha kiroho
Maposema.mfuasi namaanisha mimi sio mshirika wa KKKTKama mahubiri yake yanakufurahisha wewe usiyejali mfuasi badi bado hujajua kweli. Mahubiri ya kweli yanapaswa kukutoa gizani na kukuleta nuruni. Haiwezekani kweli ihubiriwe halafu ubaki jinsi ulivyo, huyo ni inspirational speaker tu.
π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»Amenibariki sana wiki hii kuanzia Jumatatu hadi asubuhi hii anapomaliza
Amen!
π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½Ni kweli anafundisha vizuri sana na anahamasisha kusikilizwa.
Morning and Evening Glory kupitia Upendo TV.
Ok, thanksMaposema.mfuasi namaanisha mimi sio mshirika wa KKKT
Muhubiri anayefundisha kuhusu toba ndiye anayefaa hawa wa mafanikio ya mwilini wanatafuta sadakaZamani watu walikuwa wanachukizwa na mafundisho ya neno la Mungu,sababu yalikuwa yanawaonya waache njia zao ambazo ni chukizo mbele ya Bwana,lakini siku hizi waumini wanasifia mafundisho..Ukute hapo mtu kaambiwa atapokea millioni 100.
Tumpende Mungu,tuache njia zetu ambazo ni chukizo mbele zake.