Huyu mchungaji nae soon atalia kama MC Pilipili

Huyo mchungaji anaitwa Leonard Nombo
Kaamua kujilipua kwa kuoa pisi kali.
Eti kinajimwambafai kabisa kuwa kimewazidi kete wanaume wengine.
Mimi yangu macho na masikio tu.
Mbona umemkasirikia Mch wa watu? Mlikuwa kwenye competition ya kumuoa huyo dada akakushinda nini? Tuweke wazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…