Huyu mdada anaetangaza taarifa ya habari ya TBC ameolewa?

Akili fupi ni shida sana,ulikuwa kwenye TV,mtangazi anasema jina na linaandikwa,unakuja kuuliza huku,stpd

Mramba, huyu mtoto ni mzuri jamani , loh, kuna mwengine ni fundi mitambo alikuwa TBC radio saa hii kahamishiwa TV naye moto wa kuotea mbali, ana uzuri sema hapendikujionyesha
 

Attachments

  • Screenshot_20190416-075055.png
    266.9 KB · Views: 67
Mbona ni wa kawaida tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
hujamwona live wewe, huyu mtoto ni balaa, akiwa studio kila fundi wa kiume anataka kufanya naye kazi, alafu hajui kukasirika, anacheka tu na watu, mme wake ana raha kuliko wanaume wengi, ukipata mwanamke anayekupa tabasamu, hata asipokupa chakula cha usiku unafika raha ya juu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…