Huyu mdada kachanganyikiwa...anahitaji msaada

Nimeipenda hii Kimey;
ungeuliza ambaye anaona hajawahi kucheat hata mara moja asogee mbele, ungejionea maajabu........................ (hii haimaanishi mimi na-cheat)
Umeona eh! Mdada wa watu kawa mkweli then anaomba ushauri watu wamekazania kumsema utadhani wao hawajawai kucheat! Infidelity is here to stay!
 
Umeona eh! Mdada wa watu kawa mkweli then anaomba ushauri watu wamekazania kumsema utadhani wao hawajawai kucheat! Infidelity is here to stay!

hii sikubaliani nayo Kimey, ngoja kambi ya upinzani tunajipanga vizuri.............. tukitoka tu hakuna tena atakayekuwa memba kwenye kile chama chao (chenu?)
 
hii sikubaliani nayo Kimey, ngoja kambi ya upinzani tunajipanga vizuri.............. tukitoka tu hakuna tena atakayekuwa memba kwenye kile chama chao (chenu?)
Kuto kuukabali ukweli ni kujifariji ni kama imani flani tu! So that is the reality that can be proved!
 
Huyo dada ashauriwe aitii kiu yake. Ikiisha atapata akili. Walau angekuwa amecheat na mtu mwingine, sasa amecheat na shemeji yake halafu anahitaji ushauri? Mhhh.. huyo dada matatizo yake ni makubwa zaidi ya alivyoeleza.
 
nawachukia wanao cheat and I have been cheated.... then baada ya ku mmwaga mtu baada ya wiki kumemshinda anakuja kunilamba miguu na kuomba msamaha wakati aliponda....

dada kwa kifupi we humfai tena Jamaa tembea mbele usije muumiza kijana wa watu,bora ungemweleza ukweli kuliko kucheat tena na mwanaume wa rafiki yako.
 
Hi, hakuna aliezaliwa akayajua mapenzi. Wote wanajifunza au kufundishwa na wapenzi wao. Huyo jamaa wa shoga yako nae alijifunza kwa hiyo cha kufanya hapo yale aliyo kufanyia jamaa wa shoga yako mwambie na yeye akufanyie. Na pia usirudie kumchukua mume wa shoga yako utakuja umbuka. Zingatia haya.
 
Sure,kwa raha zake....after all,hicho sio sabuni kwamba itaisha....ila ofcoz,inabidi aangalie!!!ni maoni tuu
 
ushauri wangu kwa dada "USITEME BIGJII KWA KARANGA ZA KUONJESHWA"
 
hii sikubaliani nayo Kimey, ngoja kambi ya upinzani tunajipanga vizuri.............. tukitoka tu hakuna tena atakayekuwa memba kwenye kile chama chao (chenu?)

Wanachama wa INFIDELITY wanaongezeka kwa kasi kama CHADEMA
 
Huyu ahitaji msaada maana alishajisaidia mwenyewe
 
Tatizo bado hujaeleweka kama wataka bado kubaki ndani ya affair yako na kushiriki kuleta mabadiliko unayotaka kuyaona, ama wataka yashuke kutoka mbinguni na ghafla iwe vile upendavyo? Be the change that u want, then mfanye bwana'ko nae abadilike mfurahie mahaba'ti sio kurukia vilivyoundwa na wenzio!
 
Huyu ahitaji msaada maana alishajisaidia mwenyewe

Nashukuru JS kwa kuliona hilo wazungu wanasema ameishafanya SELF SERVICE mwenyewe kwahiyo hamna msaada tena hapo
 
Mwambie alichokionja ni sukari tu. Aendelee kucheat atakutana na asali cku moja. Some times the world needs infidelitees like her to teach others a lesson.
 
Wee tulia tuu na huyo wa kwako, uzoefu unaonyesha penzi la wizi linakuwa taamu zaidi. Huenda hata mmeo kuna mtu alimuiba kidogo anatamani awe naye kimoja.
 
Acha umalaya.
Vunja ukimya, ongea na bwana ako ili kuondoa mapungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…