Huyu mdada kachanganyikiwa...anahitaji msaada

Dada karibu, nitakupa heri zaidi kisha nikushauri. Sio kosa kuonja asali ya mzinga mwingine
 
Huyu Boflo alieanzaisha hii thread si ndio yule aliyekuwa anaitwa "Bwabwa", duh hajaacha kuleta topics zenye utata.
 

Unahitaji kupepewa... na kuombewa!
 


Mwehu wewe, mbona hukuomba ushauri kabla hujafanya huo ufirauni wako??
 
Unajua wa'DADA na wa'MAMA wa siku hizi wanapenda vitu viiingi kwa wanaume ambavyo in reality kwenye LOVE huwa haviliwi! Kwa mfn: Uhandsome, Utanashati, Usuperstar, Umaarufu na Utajiri ni vitu vinyochukua sana fikra zao. Lakin kiukweli kama muonekano wa nje ungekuwa bora sana, basi FENES na NANAS visingependwa! Mi nadhan kuna haja ya kuangalia upya vitu muhimu katika love tukianza na "ZOEZI ZIMA LA KURINA ASALI" vinginevyo NYUKI watatuuma sana kwa kuhamahama MIZINGA. Pole Dada, umeumizwa na COVER la kitabu!
 


kama uliona kuwa hakuridhishi je ulishachukua hatua gani??
je ulimwambia kuwa haturidhishi?
mapenzi ni uwazi na kuwa wazi kusikilizana wote?
je unajua ni wasichana wangapi huwa hawawafikishi waume zao/bf zao? je wote huwa wana-cheat kama wewe?
je unafikiri ulivyofanya ndio jibu la swali lako?
Fikiri kwanza kabla ya kutenda, mambo mengine huwa ni ya kusikia tu wala sio ya kujionea.
je huwa rafiki yako akijua kuwa ulikuwa unamchukulia bf wake utasemaje?
ingekuwa ni wewe ungefurahi kufanyiwa hivyo?
Mapenzi ni ujuzi na kufundishana hivyo panapokuwa na matatizo madogo madogo ni bora kabisa mkawekana wazi na kuelezana kisha mnajipanga kuendelea mbele zaidi,kama watu wote wangekuwa na mawazo kama yako nadhani familia nyingi zingekuwa zilishaachika.
sasa sisi tutakushauri nini zaidi wakati ulichukua maamuzi mwenyewe na kuamua kumsaliti mwenzio?
kw nini ulishindwa kuomba ushauri kabla ya kumsaliti?
Nakusikitikia sana
 
:hand:
 

Una pepo la ngono, unahitaji kupepewa.
 
Hakuna cha kumshauri,tayari ni kahaba n a hana sifa,asije kumuua mwenzake kwa magonjwa!!!

Hivi hayo magonjwa huambukizwa kwa mdada kucheat tu? Mbona swala hili mmelishikia kidedea kulifanya kama ni la ajabu sana?
Wangapi mnamega ovyoovyo?

Ndiyo dada kakosea kucheat na bwana wa rafiki yake, hivyo yafaa abadilike kwani siyo tabia njema. Kama vipi atafute wake atakaye ridhika naye.
 

Mfanye kubadilishana kiana inakubalika otherwise, tafuta mwingine mpaka umpate wa kukupagawisha halafu umchukue kwa vile hata kuwa wa rafiki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…