Huyu mdada mbona hasomeki?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
nimemwonyesha mapenzi eti ananiita mhuni ..wakati kayataka mwenyewe ..anadai kuna mtu kanifundisha ..eti nilikuwa na mademu wengi ..eti ninapenda mademu ...
kisa nimemuonyesha mapenzi...asingeonyeshwa angelalamika kuwa mimi ni mlugaluga.............
 
Nawasabahi tu majirani, napita naenda gengeni.
 
ninge post kitu hapa ,lakini no natawa leo kwa kuwa upande wa kina mama
 
Mapenzi gani hayo umemwonyeshaaa? Labda si mapenzi ni cut walk za kitandani zimemtisha
 
ukionyesha maujanja siku ya kwanza unamtisha mwenzio.inatakiwa uwe unamuuliza hapa nifanyeje?yote au nusu?vinginevyo atakuona muhuni.mia
 
aaaaah kaka mkuu - BIG UP, ulikuwa sahihi kamanda wangu, maana sometimes hawana shukurani hawa jamaa zetu, dawa yao lazima mashambulizi ya ukweli wakati wa shughuli o/w wakati unahema umemaliza mwenzio ndo kwanza anakwambia hakuja kwako kulala apo aibu, nakuakikishia uyu lazima kakuheshimu pia atakukumbuka na kukushtua kwa ajili game jingine, ngoja akumisi kidogo
 
inategemea na ulivofanya sasa mweh!
je kama kila kitu na kila siku unamfanyia vitu utafikiri ww ni ....................... loh!
na log off
 
Mtakatifu ivuga, naona roho mtaka vitu amekushukia.
Ubarikiwe sana
Source: miss judith (bibi harusi mtarajiwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…