Huyu mdada mbona hasomeki?

inategemea na ulivofanya sasa mweh!
je kama kila kitu na kila siku unamfanyia vitu utafikiri ww ni ....................... loh!
na log off


Hahahahaha lol! Kuna siku nilikuwa nasoma sredi moja basi huyo dudu washawasha akawa amechangia sana. Sasa nilipoona kaandika nalog off nikajua kaaga lol! lakini akawa bado yupo yupo tu anachangia katika ile sredi na maneno yake ya mwisho yalikuwa ni hayo nalog off πŸ™‚πŸ™‚ basi nikajikuta naanza kucheka mwenyewe. Haya nalog off πŸ™‚πŸ™‚
 
hiyo ndo swaga zake,yaani anasema analog off ila bado yupo hewani
 
Inategemea kama ulikuwa unampa mapenzi, alafu unamlaumu sehemu ambazo alishindwa kwenda sawa nawewe lazima akuone muhuni?
 
wwe muulize anataka uwe forwad butu usiye na mazara...halafu na wewe WASHAWASHA 2MECHOKA NA KAMUSEMO KAKO KA KULOG OFF
 
Ninachofikiria inawezekana hukumonyesha mapenzi katika mapenzi, ila ulimfanyia uhuni katika mapenzi na ndiyo maana kakuita mhuni!
Acha uhuni baanaaaa!
 
Ninachofikiria inawezekana hukumonyesha mapenzi katika mapenzi, ila ulimfanyia uhuni katika mapenzi na ndiyo maana kakuita mhuni!
Acha uhuni baanaaaa!
 
wwe muulize anataka uwe forwad butu usiye na mazara...halafu na wewe WASHAWASHA 2MECHOKA NA KAMUSEMO KAKO KA KULOG OFF
kwani kanakukera nini mkuu,halafu hivi sana kauza trade kwa AMINATA halafu wanape....ndana hao,yangu vidole nitabonyeza hizi button mpka nijue zaidi maana.....
 
Ni haki yake kushangaa. Isije ukuwa unapata maujuzi sehemu nyingine kwake unafanya application
umeonaeeeeeeh lazima mtu aulize loh!
imekuaje kila cku mzigo leo mwepesiiiiiiiiiiiiiii
 
hahahaaaaaaaaa ila kuna mengine mtu anafanya mpaka mwenzi wake anastuka loh!
aaaah kuna kitu hapa si bure
 
sio siku ya kwanza
ni siku ya ngapi????????????
ndio mana kauliza kumbe cku zote ulikua umelegeza kamba tu sasa unaibuka gafla utafikiri volkano na kuanza mavituz lazima mwenz wako ashtuke munoooooooooo
ingekua mm nakupa kosovo mpaka umtaje kungwi wako cku hiyo kulalaleki
 
hahhaaaaaaaaaa naipenda munooooooo then wakati unaiandika lazima uiseme moyoni huku unatabasam loh!nalog off
 
au anahisi hapo unafundishwa huko na hapo kwake ni kama field...tetetetetetette
inawezekana kai edit sana hili tori so aiandike kama ilivo mana inaonekana kun avitu kaficha sana vinavofanya hadi aitwe muhuni loh!
 
Ninachofikiria inawezekana hukumonyesha mapenzi katika mapenzi, ila ulimfanyia uhuni katika mapenzi na ndiyo maana kakuita mhuni!
Acha uhuni baanaaaa!
hilo pia linawezekana loh! au ulitaka kuonja........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…