Huyu mdada mbona hasomeki?

Labda umeomba kutwanga kote kote, kitu ambacho anajua ni kosa kufanywa na Saint kama wewe.
 
Kwani uko kwenye mashindano, pengine hajazoe hizo staili zako, msikilize na yeye nataka nini sio kumbadilishia staili tu mwenzio, je kama zinamkera?
 
Mh!Maneno ya ram!Mh!Kazi ipo lakini ujue Saint hakuna kizuri wala kibaya!
 
Hii ni trade mark mpya nashukuru kwa kukufurahisha.Nalog off
 
wwe muulize anataka uwe forwad butu usiye na mazara...halafu na wewe WASHAWASHA 2MECHOKA NA KAMUSEMO KAKO KA KULOG OFF
We na nani ? we umekuja juzi tu mara ushachoka? stahamili japo unaumia,au hujapitia JKT? Nalog off
 
kwani kanakukera nini mkuu,halafu hivi sana kauza trade kwa AMINATA halafu wanape....ndana hao,yangu vidole nitabonyeza hizi button mpka nijue zaidi maana.....
Ahsante sana mkuu kwa kumuuliza swali la nyongeza,mie na AMINATA DAM DAM,mwambie kama anachukia ajinyonge kwa udenda wa zezeta.Nalog off
 
kama kweli hunamadem na ni huyo ndio umpendae sidhani kama kutakua na purukushani inawezekana anajua past zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…