Huyu mdada nimueleweje?

Huyu mdada nimueleweje?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Mwaka mmoja uliopita, nilimtongoza mdada wa jirani hapa, nilimwomba namba akanipa, siku ingine tulivokutana nlimweleza nia yangu ya mimi na yeye tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akanikataa katakata kwa kusema tayari ana boyfriend na hawezi kuchanganya wanaume wawili nikamwelewa, wala sikumbembeleza nikamwambia sawa.

CHA KUNISHANGAZA
Juzi kati baada ya mwaka kupita, nikakutana nae alivoniona alinishobokea wakati si kawaida yake, Mimi niliongea naye ila kichwani nilijiuliza huyu mdada si alinikataa leo nimebadilika nini mpaka anishobokee, nikachukua tena namba yake tukachat wee, nilivoonana nae tena tulipiga story mbili tatu nikamwambia aje ghetto kunitembelea, akasema yuko busy mimi nikamwambia sawa akipata nafasi aje.

Ile tumeachana hivi akanitumia sms akaniambia nikitoka huko nakoenda nimletee zawadi, nikamuuliza zawadi gani, akaniambia nimletee zawadi yoyote, mimi nikamwambia sawa, nikamuuliza nitampaje nikishainunua iyo zawadi Akaniambia nimpelekee kwao, baadae nikamwambia zawadi nishainunua ila nimetoka kwenye mizunguko halafu nimechoka hivo aje aifate ghetto, akasema nisijali ghetto atakuja, mimi nkamwambia hii zawadi kukuletea kwenu itakua vigumu, kama vipi aje ghetto aifate..akasema sawa..

Tangu siku hiyo leo ni Wiki ya tano, mdada akawa hapokei simu zangu wala kunijibu sms wakati sikumkosea chochote na tulikuwa tunachat vizuri tu hata nkikutana nae uso kwa uso huwa ananikaushia kama hanioni.

1629363604447.png
 
Wanaume wa skuizi kazi ipo [emoji1].. hili swala nalo lakuja kuomba msaada jf?
 
Mwaka mmoja uliopita, nilimtongoza mdada wa jirani hapa, nilimwomba namba akanipa, siku ingine tulivokutana nlimweleza nia yangu ya mimi na yeye tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akanikataa katakata kwa kusema tayari ana boyfriend na hawezi kuchanganya wanaume wawili
They like flirting

focus kwenye mengine muweke akiba
 
Utoto wakusumbua wewe ukimpotezea unapungukiwa nn vocha uweke wewe alafu hapokei labda akipokea atakupiga kizinga cha buku kumi au tano ivi huoni wengine boss Kwa dunia ya Leo ongea au wasiliana na mtu mwenye anakukumbuka naw siyo kila kitu ujiumize mwenyewe
 
Mwaka mmoja uliopita, nilimtongoza mdada wa jirani hapa, nilimwomba namba akanipa, siku ingine tulivokutana nlimweleza nia yangu ya mimi na yeye tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akanikataa katakata kwa kusema tayari ana boyfriend na hawezi kuchanganya wanaume wawili nikamwelewa, wala sikumbembeleza nikamwambia sawa.

CHA KUNISHANGAZA
Juzi kati baada ya mwaka kupita, nikakutana nae alivoniona alinishobokea wakati si kawaida yake, Mimi niliongea naye ila kichwani nilijiuliza huyu mdada si alinikataa leo nimebadilika nini mpaka anishobokee, nikachukua tena namba yake tukachat wee, nilivoonana nae tena tulipiga story mbili tatu nikamwambia aje ghetto kunitembelea, akasema yuko busy mimi nikamwambia sawa akipata nafasi aje.

Ile tumeachana hivi akanitumia sms akaniambia nikitoka huko nakoenda nimletee zawadi, nikamuuliza zawadi gani, akaniambia nimletee zawadi yoyote, mimi nikamwambia sawa, nikamuuliza nitampaje nikishainunua iyo zawadi Akaniambia nimpelekee kwao, baadae nikamwambia zawadi nishainunua ila nimetoka kwenye mizunguko halafu nimechoka hivo aje aifate ghetto, akasema nisijali ghetto atakuja, mimi nkamwambia hii zawadi kukuletea kwenu itakua vigumu, kama vipi aje ghetto aifate..akasema sawa..

Tangu siku hiyo leo ni Wiki ya tano, mdada akawa hapokei simu zangu wala kunijibu sms wakati sikumkosea chochote na tulikuwa tunachat vizuri tu hata nkikutana nae uso kwa uso huwa ananikaushia kama hanioni.

Hataki umkule kimasiara au kwa lazima ka log out
 
Nipe namba yake nimsikilize na yeye ili niwashauli wote.
 
Aliona una umalaya mwingi kumzidi alaf unatumia mbinu kwa kuruka ruka stage
 
Shule zimefungwa ama siku hizi ni ruksa kwenda na smartphone?🤔
 
Back
Top Bottom