Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Nimemkuta kwenye kibanda cha wachoma mishkaki ya kitimoto ameagiza sahani 2 zisikaushwe sana@johnthebaptist upo wapi chifu?
Huyo dogo bwege tu hana mbele wala nyuma anadharaulika tu hata na wana ccmTumuulize lucas
Tumtafute asee ni mtu muhimu sn, bora angepotezwa Lucas Mwashambwa aseeYu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?
Lucas Mwashambwa sahivi ni VEO muda mwingi anakuwa field kwa wananchi anaonekana usiku pekeehata nyuzi za kububujikwa za Mwashambwa zimepungua, huenda wapo semina elekezi kwa ajili ya kutema nyuzi za uchaguzi
Sabbatical leave.Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?
Vip ndugu yake Tlaatlaah yeye ana cheo gani hapo Chamwino?Lucas Mwashambwa sahivi ni VEO muda mwingi anakuwa field kwa wananchi anaonekana usiku pekee
Chamwino au UWT kata ya Kaloleni! ni Katibu wa UWT KaloleniVip ndugu yake Tlaatlaah yeye ana cheo gani hapo Chamwino?
You made my day.. nimechekaaChamwino au UWT kata ya Kaloleni! ni Katibu wa UWT Kaloleni
kwa sisi wengine utumishi ni wito my friends, ladies and gentleman, japo kua pia cheo ni dhamana kwa watu waadilifu na wachapakazi bila kujali nafasi gani ya utumishi ulopewa kuwajibikia wananchiVip ndugu yake Tlaatlaah yeye ana cheo gani hapo Chamwino?
Ila mama ima,Chamwino au UWT kata ya Kaloleni! ni Katibu wa UWT Kaloleni
Amechoka kiherehereYu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?
Kilaza umekimbia mbio mbio bila brake kuja kutapika ugolo kama kawaida yako😂😂.kwa sisi wengine utumishi ni wito my friends, ladies and gentleman, japo kua pia cheo ni dhamana kwa watu waadilifu na wachapakazi bila kujali nafasi gani ya utumishi ulopewa kuwajibikia wananchi
Wewe jamaa kuna kitu nimejifunza kwako , hukubali kukasirishwa yaani unachukulia mabomu ni kama sauti ya Pepsi moto iliyotikiswa na kufunguliwakwa sisi wengine utumishi ni wito my friends, ladies and gentleman, japo kua pia cheo ni dhamana kwa watu waadilifu na wachapakazi bila kujali nafasi gani ya utumishi ulopewa kuwajibikia wananchi
Aisee!!! 👿 mama anaupiga mwingiLucas Mwashambwa sahivi ni VEO muda mwingi anakuwa field kwa wananchi anaonekana usiku pekee