Huyu mdau muhimu yupo wapi? Isije ikawa amepotezwa

Nadhani hakuna awamu inawajali UWT kama hii ya mzanzibar asee
Gentleman,
lisu na heche hawawakubali kabisa viongozi wananwake wa chadema hasa wenye maono na fikra pevu zaidi yao kiungozi,

unadhani ni njia sahii kuwatembezewa vipigo vikali namna ile huku viongozi wa kitaifa wakishuhudia kama namna ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti?
 
Juzi CCM mmetoa kafara waandishi wa habari kule Mbeya nadhani wamefika 6 sasa.
 
gentleman kwa hali hiyo ya kikatili kwa viongozi wanawake wa chadema,
je,
chadema HQ ni mahali salama kweli kwa viongozi wanawake kupazuru bila kuavaa bullet Proof vest?
Vipi utoaji wa kafara ndani ya CCM ni sawa?
 
huenda yuko kwenye novena ya kwaresma ya siku40,

anapenda sana kufanya maombi pale msimbazi pamoja na myika
 
hivi gentleman,
yule mlinzi binafsi wa heche katili kiasi kile,
anaweza kukosekana kweli miongoni mwa waliomdhuru na kumdhulumu yule kamanda wa Tanga kipindi kile cha uchaguzi wa ndani wa chadema?
Vipi kafara za CCM?
 
Wewe jamaa kuna kitu nimejifunza kwako , hukubali kukasirishwa yaani unachukulia mabomu ni kama sauti ya Pepsi moto iliyotikiswa na kufunguliwa
gentleman,
ni muhimu sana mambo ya siasa yaishie kwenye lungs na keyboard tu, haifai kabisa kuwekwa rohoni
 
Nyi wahuni sio watu aisee daah nimebaki nacheka tu hapa...
 
ukitathimini kwa kina,
hivi wale walinzi binafsi katili sana wa heche,
sio project maalumu ya kitaifa kutoka HQ, inayolenga kuwadhibiti viongozi wananwake wa chadema wenye fikra pevu huko mikoani?
Kwanini wasijiuenge UWT muwe nao wawe na usalama wa kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…