Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Ni kutoa onyo kwa nyie UWT msichezee uchaguzi Octlengo la kuwadhibiti viongozi wanawake wenye upeo kwa style ya vipigo ndani ya chadema ni nin hasa mama Ima, kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa za Tz?
Hawa huwa ni waganga njaa tu watu wenye vyeo au pesa hawana muda wa kuanzisha nyuzi kila siku. Huyu ni wale ambao waliachwa chadema ameenda ccm sasa wamemwambia ajitahidi kuonesha yeye ni mwanaccm. Hana cheo wala pesa njaa ndo aliyo nayo tu.Vip ndugu yake Tlaatlaah yeye ana cheo gani hapo Chamwino?
Kapewa kazi ya udereva kwenye yale mabasiLucas Mwashambwa sahivi ni VEO muda mwingi anakuwa field kwa wananchi anaonekana usiku pekee
Wewe ni Member wa pili unauliza! Tena kwa special thread!!Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?
Faiza foxy YUPO KWENYE HEDA π π π π π€£π€£ kaachikaUmemsahau FaizaFoxy
Siku zote!Wewe jamaa kuna kitu nimejifunza kwako , hukubali kukasirishwa yaani unachukulia mabomu ni kama sauti ya Pepsi moto iliyotikiswa na kufunguliwa
πππ watu wanarushiana makombora mazito mazito.Hili ni jukwaa la siasa kama una sukari au B.P ni bora usichangie we kaa kimya maana unaweza kupigwa kitu ukaanguka mazima
Johnthebaptisit hajawahi kuwa threat kwa hangaya na waramba asali hata siku mojaWewe ni Member wa pili unauliza! Tena kwa special thread!!
Sio bure itakuwa alifuatwa in box akaingi kwenye mfumo wa WAHUNI akatoa na number ya cm, nahisi aliuza taarifa zake sio bure.
HEDAβFaiza foxy YUPO KWENYE HEDA π π π π π€£π€£ kaachika
Kuna wakati alikuwa anakengeuka na kupiga spana kweli kweli kwa CCM yake!!!Johnthebaptisit hajawahi kuwa threat kwa hangaya na waramba asali hata siku moja
Shukrani sana Mkuu, hapa siyo typing error,nilifikiri neno linaandikwa hivyo!!!HEDAβ
EDAβοΈ
Akija hapa utajuta mashushu yakeπShukrani sana Mkuu, hapa siyo typing error,nilifikiri neno linaandikwa hivyo!!!
ππ,
Ndo hivyo, mpaka Eid Bado yupo EDA π€π€π€π€
Ni kweli atatoa povu balaa,π πAkija hapa utajuta mashushu yakeπ
π€£π€£π€£π€£Faiza foxy YUPO KWENYE HEDA π π π π π€£π€£ kaachika
tulianza na mungu, tunamaliza na mungu (wipbroad. P . SLAA, 2010)Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?