Huyu mdogo wangu anakipaji cha Muziki wa Kimarekani afenyeje ili aingie U.S?

Huyu mdogo wangu anakipaji cha Muziki wa Kimarekani afenyeje ili aingie U.S?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii.

Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US, nisaidieni contacts zao wakuu.

Najua kuna wengine wapo US uko saivi.








 
Yuko vizuri mkuu,tafuta emails za producer ama sponsors wa ma celebrities wa Music kisha watumia clip kama ulivyotuma tukaangalia hapa JF ndio uandikie email, then u attach hizo clips zote...kila la kheri mkuu
 
Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha KIMAREKANI afanyeje aweze kuingia U.S

Atafute fan base hapa Bongo na Afrika ya Mashariki kisha kidogo kidogo atazidi kujulikana .

Nimeona clip yake YouTube ya hata ile ya miezi 11 iliyopita views hazijafika 100.

Dru Zm unapotupia vitu mtandaoni acknowledged studio, director, song writer na muhimu pia nchi Tanzania. Contact zako pia utupie yawezekana mtu akaipenda popote duniani.

Hivyo kila video au audio clip iendane na taarifa fupi ya msanii na crew nzima iliyofanikisha kama nilivyosema ktk paragraph za hapo juu kuhusu utambulisho, watakufikia vipi n.k

Endelea kukazana ktk fani yako ya muziki dunia ni kijiji lakini usisahau nyumbani kwenu (Tanzania)ktk wasifu wako, neno Tanzania ya kina Diamond Platnumz itakubeba by default mtandaoni mfano mtu alifanya search online "Tanzanian upcoming artist " Dru Zm / Dru X anaweza kuibukia kwa mgongo wa neno Tanzania lililopo ktk description yao YouTube au mtandaoni.

Search Dru X ? Search Dru Zm ?
Imagehttps://www.kulturevulturez.com › t...
Top Tanzanian Artists: 2021's Top 35 Artists from Tanzania List
20 Mar 2021 — Top Tanzania Artists. With the top Tanzanian artists being located in a East African country that has one of world's most
 
Aendelee kukuza talent na aaandae real shits sio kufanya cover maana hata huko US cover artists wako kibao wanaishia YouTube tu.

He should have his own style ambayo itakuwa ina mrepresent kuwa ni yeye, kila msanii anatakiwa awe unique kwa jinsi fulan kuimba ma cover sio special.
 
Yuko vizuri mkuu,tafuta emails za producer ama sponsors wa ma celebrities wa Music kisha watumia clip kama ulivyotuma tukaangalia hapa JF ndio uandikie email, then u attach hizo clips zote...kila la kheri mkuu
Hao producers ndo hawana cha kufanya? Yaan wahangaike na huu ushuzzxx
 
Back
Top Bottom