Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Umemsahau yule mwingine akisema amefanana na 2pac maisha magumu sana jamaniTupunguze masihara
sio masihara mkuu, ni kweliTupunguze masihara
yupi mkuuUmemsahau yule mwingine akisema amefanana na 2pac maisha magumu sana jamani
Ni kweli dogo yupo vizuri sanaaYupo vizuri! Hasa hiyo ngoma ya kwanza aliyo rap kama meek mill
Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha KIMAREKANI afanyeje aweze kuingia U.S
https://www.kulturevulturez.com › t...
Top Tanzanian Artists: 2021's Top 35 Artists from Tanzania List
20 Mar 2021 — Top Tanzania Artists. With the top Tanzanian artists being located in a East African country that has one of world's most
Conboi cannabino ..
Gosby
Pah one
mchango wa bufa huuAcha aendelee kuimba vizungu ataingia kwenye hiyo Z-list artists.
Aanzie mziki hapa bongo. Juhudi zitampeleka anakota.Ni kweli dogo yupo vizuri sanaa
Hao producers ndo hawana cha kufanya? Yaan wahangaike na huu ushuzzxxYuko vizuri mkuu,tafuta emails za producer ama sponsors wa ma celebrities wa Music kisha watumia clip kama ulivyotuma tukaangalia hapa JF ndio uandikie email, then u attach hizo clips zote...kila la kheri mkuu
Mkuu polee, umejaribu kwenda hospitali kupima?????!Hao producers ndo hawana cha kufanya? Yaan wahangaike na huu ushuzzxx