Kwa mbwembwe nyingi Man U wametangaza kumalizana na PSV kimalipo kuhusu Memphis Depay na kwamba winga huyo atakipiga Oldtrafford msimu utakaoanza , nauliza kwani huyu Memphis Depay ni nani? Ana jipya gani? si winga kama Angel De Maria ambaye hajaonesha chochote? Man tatizo si back ? sasa winga wa nini?