Huyu Memphis Depay ni nani?

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Kwa mbwembwe nyingi Man U wametangaza kumalizana na PSV kimalipo kuhusu Memphis Depay na kwamba winga huyo atakipiga Oldtrafford msimu utakaoanza , nauliza kwani huyu Memphis Depay ni nani? Ana jipya gani? si winga kama Angel De Maria ambaye hajaonesha chochote? Man tatizo si back ? sasa winga wa nini?
 
Unaujua mpira au ?Ulifuatilia world cup na umekuwa ukifuatilia ligi za ulaya. If so, lazima ungejua mambo ya huyu dogo na kwa nn klabu nyingi kubwa zilikuwa zinamfukuzia kwa udu na uvumba.
 
huna jipya wewe, kwa sababu di maria hajafanya poa kwahyo tusisajili kwa kuhofia atakua flop? ndio matatzo ya walioanza kushabikia mpira sababu ya kubeti
 
Ingia Wikipedia utajua ni nani hasa huyo dogo.
 
Man U na Simba ni timu zilizopoteza dira na muelekeo
 
Bonge la usajiri,bado beki 4&5,beki ya kulia,na striker mkali wa kumsaidia Rooney..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…