Sijawahi kushabikia utopolo... Pamoja na kuipenda Simba kupita kiasi...Pambananeni na hali zenu ndugu zangu utopolo. Mambo ya simba hayawahusu
Simba wamekosa uzalendo na Yanga wamepoteza dira ni kilabu kile sio klabu tena ... TuwasameheNyau wako sahihi, ujinga ulianzia kwa Yanga kuendelea kumkumbatia ili hali huyu jamaa alisha onesha utovu wa nidhamu,kama Yanga wangemtema kulikuwa na mashiko kwa hoja yako hii
Nyau fc wako sahihi sana, wale na yanga ni wapinzani na hii silaha ndo ilikuwa tishio kwao kuona licha ya utovu wa nidhamu kwa huyu mvuta bhangi bado yanga hawajaonesha kuwa wazalendo (kumtema) nao wakapigana ili kumuwahi wako sahihi sana.Simba wamekosa uzalendo na Yanga wamepoteza dira ni kilabu kile sio klabu tena ... Tuwasamehe
Haki elimu walisema "Kandambili sio Kiatu" kisa bwana yule kakumbatia uchafu haimaanishi na Sisi Simba tumpokonye na sisi tuwe maarufu.... Huu ni umaarufu chawa kwa klabu kubwa kama Simba.BM
Yanga walipombakiza kwenye kikosi chao mbona haujalaumu?, kwa nini simba tu waonekane hawana uzalendo kisa katoka yanga kwa shali?
Hiyo Aya ya pili inapaswa kuwa dira ya Mtanzania yeyote.. mtu anayeidharau nchi Hii na misingi yake tunamuwajibisha... Kea Sasa MASHABIKI WA SIMBA TUNAPASWA KUWASAJIBISHA UONGOZI WA SIMBA NA TFF KWA KUSUSIA MECHI ZOTE ZA LIGI. Ili iwe funzo wakienda nje huko waje na wachezaji sio wavuta bangi.Nyau fc wako sahihi sana, wale na yanga ni wapinzani na hii silaha ndo ilikuwa tishio kwao kuona licha ya utovu wa nidhamu kwa huyu mvuta bhangi bado yanga hawajaonesha kuwa wazalendo (kumtema) nao wakapigana ili kumuwahi wako sahihi sana.
Yanga walipaswa kuwasiliana na Nyau kwamba huyu mvuta bhangi tunamtema kwa kosa la kinidhamu ili klinda heshima ya ligi yetu ko mkaushieni,Nyau wangezingua hapa ndo tungesema si ACT wazalendo
mkuu mimi ni Yanga ila kwa hili nasimama na Nyau fc, maana hii silaha ni nzito licha ya utovu wa nidhamu bado Yanga akaendelea kumshikilia na kuwaacha wazalendo kina Ngassa Nyau akaona isiwe tabu huyu anataka niua tena kwa mashuti ya mbali, anakosa uzalendo bado anaitaka hii silaha licha ya upumbavu wote ngoja niichukue tu.Hiyo Aya ya pili inapaswa kuwa dira ya Mtanzania yeyote.. mtu anayeidharau nchi Hii na misingi yake tunamuwajibisha... Kea Sasa MASHABIKI WA SIMBA TUNAPASWA KUWASAJIBISHA UONGOZI WA SIMBA NA TFF KWA KUSUSIA MECHI ZOTE ZA LIGI. Ili iwe funzo wakienda nje huko waje na wachezaji sio wavuta bangi.
Sasa Muda Simba Kuonesha Ukubwa... Muongoza Njia[emoji1787][emoji1787]mkuu mimi ni Yanga ila kwa hili nasimama na Nyau fc, maana hii silaha ni nzito licha ya utovu wa nidhamu bado Yanga akaendelea kumshikilia na kuwaacha wazalendo kina Ngassa Nyau akaona isiwe tabu huyu anataka niua tena kwa mashuti ya mbali, anakosa uzalendo bado anaitaka hii silaha licha ya upumbavu wote ngoja niichukue tu.
Yanga wawe wazalendo kwanza na wawe wanawasiliana na Nyau fc na timu zote za ligi kuu na ndogo kwa wavuta bhangi kutoka nje wasipate nafasi
hawezi ongoza labda kwa hongo kwa marefa na upendeleo wa tffSasa Muda Simba Kuonesha Ukubwa... Muongoza Njia[emoji1787][emoji1787]
Yaani afukuzwe yanga tunaumiaSimba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.
Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.
#Simba_Taifa_Kubwa.
[emoji1241][emoji3590] Uzalendo Kwanza