Huyu mgonjwa atapona kweli?

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
*Mgonjwa*: Daktari naumwa sana namoyona najisikia kufa kufa tu.
*Daktari*: Wewe ni mpenzi wa timu gani ya mpira wa miguu?
*Mgonjwa*: Kwa Tanzania mimi ni shabiki wa Simba na Ulaya mimi ni mpenziwa Arsenal
*Daktari*: Na unafanya kazi wapi?
*Mgonjwa*: Nilikuwa nafanya GTV, baada ya kufa nikapata kazi Paradise
HotelBagamoyo.
*Daktari*: Una akiba yoyote ya fedha benki?
*Mgonjwa*: Ndiyo, akiba
yangu yote ya fedha ipo DECI.
*Daktari*: Mmmh, unaishi wapi?
*Mgonjwa*: Naishi
mbagala karibu na kambi ya jeshi
*Daktari*: __________________



wakuu!
Kila mmoja kwa nafasi yake akiwa kama daktari,NAOMBA ASEME ATATOA JIBU GANI KATIKA KUMSAIDIA HUYU MGONJWA
 
Ntamwambia aweke sahihi ili organ zake zitumike kuokoa maisha ya wengine.
 
He!......
Mungu pishia mbali!

Ushauri wa Kidaktari hapo haufai- ila wa nasaha!

The Poorest person on Earth is the one who has lost even

HOPE!

Ukimpa hiyo mzee, anaamka fasta na kujiona tajiri muzee ya Azam.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…