Huyu Mguinea Hana kosa lolote

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Huyu jamaa mpaka hapo alipo hajabaka wala hajatoka na watoto wenye miaka chini ya 18

Kosa la huyu jamaa ni gani? Kwamba aliwalazimisha au walimtaka?

Kesi yake na Piddy ni tofauti

Piddy alilalamikiwa Ila huyu hakalalamikiwa Bali wamevujisha video zake!!

Sioni kosa lake labda kufukuzwa kazi kwa maslahi ya ofisi ya umma Ila kesi hakuna hapo labda akose wakili mzuri kumtetea!!
 
Kwani ishajulikana anatuhumiwa makosa yepi?
 
Sehem kubwa ya aliokua akiwala ni wake za watu,
TEAM KATAA NDOA itabidi nianze kuwachukulia serious wana hoja aisee 😀
Tuna hoja nzr asilimia 90 ni wake za watu na anawala uku anawarekodi na wanajua ila jamaa alikuwa achagui mzee ni moto tu.
 
Mkuu hujui hata kama kuna:
1. Breach of privacy kwa kurekodi hizo incidents
2. Adultery
3. Sasa humo humo zinaweza ibuka tuhuma za intoxicating au na abduction N.K! Kimsingi sheria ni pana sana wakiamua kuzitumia vema.
 
Jamaa hana kesi, wenye kesi ni hao waliopekua simu na kusambaza hizo videos
 
Kosa lake ni indicent conduct
 
Unazijua Sheria za Nchi ya Guinea!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…