Huyu mjamaa simwelewi

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,009
Reaction score
2,315
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).

Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio tukawa mbali kidogo ila zile likizo tunatembeleana maana tunaishi kitaa kimoja na familia zetu ni family friends.

Sasa wakati nimemaliza six na yeye kamaliza mimi chuo Dar yeye Moshi. Ila pia tukikutana likizo gudi tu. Kuna manzi mtaani alikuwa yupo sekondari nikawaga namkula (jamaa yeye alikuwa sio mtu wa mamanzi).

Kuna time nipo chuo Dar yeye akiwa Moshi anafika Chuga rahaka kuna jamaa yetu mwingine ana manzi wake ni rafiki wa hii kitu yangu sema huyu jamaa mwingine yeye alikuwa mtu wa kwena safina sana (kwenye maombi) wakati mimi ni muuni tu.

Sasa akamvuta huyu mshkaji (yule wa mwanzo) wakaanza kwenda nae na manzi wake (manzi wa huyu mjamaa mwingine). Kwakuwa yule manzi wangu alikuwa karibu na manzi wa jamaa basi nae wakamvua huko wakawa wanaenda wanenne. Muda yule mjamaa akiwa na manzi wake inatokea yule mchizi wangu (wa mwanzo) anabaki na manzi wangu mpaka wakaanzisha mahusiano.

Ubaya mchizi alikuaga ananiomba ipad apige picha halafu anapost facebook (miaka hiyo) so naziona na naona kuna ambazo mselaa (yule wa mwanzo) yupo na mrax wangu (manzi angu) nikawaleteaga cheche (noma) ila mselaa akaniambia manzi (yule mrex wangu) kamwelewa so sina chakufanya.

Nilipokua chuo nikapata mbishe (kazi) flani Dar so sikurudi Chugga (Arusha). Mjamaa akaendelea kuwa close na mamsii (manzi wangu). Ilifikia time mamsii akakata mguu (mawasiliano) na mimi na baada ya two years kumaliza unii (chuo) nikajasikia mjamaa amechumbia huyu mraksi (mamsi wangu).

Punde akamuoa asee. Niliumia kidesign (kimtindo/kiasi/kidogo) ila baadae nikasema potelea mbali.

Sasa shida ipo kuwa siku za usoni naonana na mjamaa namwambia "nilimgonganga mkeo zamani kishenzi mastyle yote" jamaa anamind kishenzi. (Simuambii kwakuwa mamamsi hawagongwi ila kwakufa alinifanyia unyambisi/umafia/unyamera).

Je hapa nani yupo sawa wakuu?
 
Unazingua we mdudu sasa kuna haja gani ya kumwambia hayo na unajua fika tayari ni mkewe?
Tabia za kiduanzi hizo move on kubali kuachilia mambo hata kama uliumia.
Ingekuwa mtu back yechu man ila jamaa alinifanyia udwanzi arif kwaiyo nimeona na mimi nimfanyie udwanzi iwe moko moko
 
Una pigo za kikuda we chalii.

Utakuja kupigwa pipe. Una kumderee mwana kuwa ulimlaza manzi yake kwa style kede? Utageuzwa.

Machalii wana shingo. Naona huko dasalale wamekuminyia pigo za kidada, umbea.

Chunga fala wewe.
Wala sikuai mtell kitu dingi angu. Sema nnini ujue saizi niko hapa gachuland na mselaa tunasizi nae kitaa sasa waga akiniletea njaro za kimamaku namtefell ile kweli.
 
mshamba_hachekwi njoo hapa
 
Makonda kazi anayo
Ulizaga uchanwe basi eroo. Hao unaaona wanajiita wadudu wala sio wenyewe ni wajaku shazi tu (wakuja wengi).

Tafuta hata yuchubu huko utawajua wadudu wa dampo long time kinyama over 10 years tupo cypher za kitaa kila mtaa kila jumapili.

Hawa ni waska doo tu wanaotembelea jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…